MAUMBILE MADOGO NA TIBA 3 BILA SUMU -Sounds of Africa

MAUMBILE MADOGO NA TIBA 3 BILA SUMU Tendo la ndoa ni kitu muhimu ambacho kila mtu anatamani aifurahie, kwa wanaume ukubwa wa maumbile yao umekuwa kitendawili kama unafaa kwaajili ya kumfurahisha mwenzi wake. Katika video hii nimeelezea yafuatayo: 1. Mtazamo wa wanaume kuhusu maumbile yaho na majibu ya matokeo ya utafiti kuhusu mawazo yao kuhusu maumbile. 2. KIle ambacho wanawake wanafikiri kuhusu maumbile ya wenzi wao kwa kutumia majibu yha utafiti. 3. Ukubwa wa kawaida wa maumbile ya wanaume - namna ya kuyapima _ vipimo vyake vikoje 4. Mahusiano kati ya ukubwa wa mwili wa mwanaume na maumbile yake. 5. Sababu zinzzoweza kusababisha maumbile madogo. 6. NAMNA YA KUEPUKANA NA TATIZO HILI a. kubadili mtazamo b. vyakula 16 vyenye uwezo wa kuongeza maubile yao c. mazoezi kwa ajili ya kuongeza ukubwa wa maumbile USISAHAU, SUBSCRIBE TAFADHALI ILI TWENDE PAMOJA KATIKA VIDEO ZINGINE BIDHAA MUHIMU KWA AJILI YAKO 1. Kama unataka kupunguza uzito ndani ya muda mfupi bila mazoezi mazito wala bila kutumia kemikali zinazoharibu mwili wako tuwasiliane ili uanze program hii 2. Kama unataka ile bidhaa ya asili yenye L-arginine kwa wingi kwa ajili ya kusaidia mwili wako kuongeza maumbile, wasiliana nami pia. VIDEO ZINGINE MUHIMU KWAKO Punyeto na madhara yake, angalia hapa https://youtu.be/jbFnkLzUzJE Tiba ya madhara ya punyeto, angalia hapa https://youtu.be/PhFzv5oTvUg Kwa elimu zaidi juu ya afya yako tembelea naturefreeclinic.blogspot.com MAWASILIANO: real.dr.nature@gmail.com http://ift.tt/2f8HvLn

Comments